M23 wajiondoa Uvira, lakini je, hii italeta amani mashariki mwa DRC?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 10353
Kundi la waasi la M23 limetangaza uamuzi wa “kuondoa wanajeshi wake” kutoka mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), ambao lilidai kuudhibiti wiki iliyopita. Hatua hiyo imeelezwa kama njia ya kujenga uaminifu na kusaidia mchakato unaoendelea wa amani. #DiraYaDuniaTV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: