Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

AFARIKI AJALINI TANGA AKIELEKEA MOSHI KUSHEREHEKEA KRISMASI, WANNE WAJERUHIWA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-12-25

Просмотров: 6109

Описание:

Tanga.Safari ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi mjini Moshi imegeuka majonzi baada ya dereva wa gari dogo, Justine Jacobo Njau (32), kufariki dunia papo hapo na wengine wanne wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajiri ya Desemba 25, 2025, mkoani Tanga.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ajali hiyo ilitokea saa 10:30 alfajiri katika Kijiji cha Taula, Wilaya ya Handeni, kwenye barabara kuu ya Chalinze kuelekea Segera.

“Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linafanya uchunguzi wa ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 25 Desemba 2025, saa 10:30 alfajiri, katika Kijiji cha Taula, Wilaya ya Handeni, kwenye barabara kuu ya Chalinze kuelekea Segera,” amesema Kamanda Mchunguzi.

Amesema ajali hiyo ilihusisha gari dogo aina ya Toyota Runx lenye namba za usajili T 350 DZA lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Moshi na gari la mizigo aina ya Mitsubishi Fuso lenye namba za usajili T 857 DZK lililokuwa likitokea Segera kuelekea Chalinze.

“Katika tukio hilo, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Justine Jacobo (32), aliyekuwa dereva wa Toyota Runx, amepoteza maisha papo hapo. Aidha, watu wengine wanne wanaume wawili na wanawake wawili, akiwemo mtoto mmoja wamejeruhiwa na wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini,” amesema.

Kwa mujibu wa polisi, uchunguzi wa awali unaonesha chanzo cha ajali kuwa ni uzembe wa dereva wa Toyota Runx aliyefanya jaribio la kuyapita magari mengine (overtaking) katika eneo lisiloruhusiwa bila kuchukua tahadhari, hali iliyosababisha kugongana uso kwa uso na gari la mizigo.

Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ha simu,baba mdogo wa marehemu, Adam Njau, amesema familia imepokea kwa majonzi taarifa za kifo cha Justine, aliyekuwa anakwenda Moshi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi pamoja na marafiki zake wanne.

“Ni kweli tumempoteza Justine. Alikuwa anatokea Dar es Salaam akija Moshi kwa ajili ya sikukuu. Taarifa tumezipokea asubuhi na baadhi ya wanafamilia wameanza taratibu za kufuatilia hatua zinazofuata,” ameema Adam Njau.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewataka madereva kuacha kuendesha kwa kasi na kufanya maamuzi hatarishi barabarani, hasa katika kipindi cha sikukuu. Polisi wamesisitiza kuzingatiwa kwa kauli mbiu ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani inayosema, “Endesha salama, familia inakusubiri.”

AFARIKI AJALINI TANGA AKIELEKEA MOSHI KUSHEREHEKEA KRISMASI, WANNE WAJERUHIWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Marekani yafanya mashambulizi makali na hatari nchini Nigeria, katika Dira ya Dunia TV

Marekani yafanya mashambulizi makali na hatari nchini Nigeria, katika Dira ya Dunia TV

Fahamu Usiyoyajua Kuhusu Mkoa wa Tanga | Sehemu ya Pili | Zamadamu Tanzania

Fahamu Usiyoyajua Kuhusu Mkoa wa Tanga | Sehemu ya Pili | Zamadamu Tanzania

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MKOA WA TANGA,TABIA ZA WANAWAKE, MWANAUME KUHEMEA, ASILI YA JINA, MAKABILA

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MKOA WA TANGA,TABIA ZA WANAWAKE, MWANAUME KUHEMEA, ASILI YA JINA, MAKABILA

MKOA WA TANGA WAANZA KUNUFAIKA NA MIKAKATI YA UFUFUAJI WA VIWANDA

MKOA WA TANGA WAANZA KUNUFAIKA NA MIKAKATI YA UFUFUAJI WA VIWANDA

NGOMA NZITO: Ifahamu ngoma ya Msanja kutoka Tanga, inavyochezwa na asili yake

NGOMA NZITO: Ifahamu ngoma ya Msanja kutoka Tanga, inavyochezwa na asili yake

MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

SAFARI ZA TRENI YA MIZIGO  TANGA - KIGOMA, RWANDA, BURUNDI NA KONGO  ZAANZA.

SAFARI ZA TRENI YA MIZIGO TANGA - KIGOMA, RWANDA, BURUNDI NA KONGO ZAANZA.

NILIKATAA kufanya MAPENZI na Mwanaume Mwenzangu nikamwagiwa TINDIKALI

NILIKATAA kufanya MAPENZI na Mwanaume Mwenzangu nikamwagiwa TINDIKALI

MELI KUTOKA IRAN YATIA NANGA BANDARI YA TANGA NA KONTENA 493 ZA MIZIGO

MELI KUTOKA IRAN YATIA NANGA BANDARI YA TANGA NA KONTENA 493 ZA MIZIGO

MBUNGE WAITARA AMTWISHA MZIGO RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN,AOMBA AINGILIE KATI MGOGORO WA KISIASA

MBUNGE WAITARA AMTWISHA MZIGO RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN,AOMBA AINGILIE KATI MGOGORO WA KISIASA

💥 Зеленский анонсировал важные новости в мирном процессе! | Оперативные новости. Вечер

💥 Зеленский анонсировал важные новости в мирном процессе! | Оперативные новости. Вечер

MKE WA MCHUNGAJI AJINYONGA SIKU MOJA KABLA YA CHRISMASS

MKE WA MCHUNGAJI AJINYONGA SIKU MOJA KABLA YA CHRISMASS

ALIEMPA MKEWE TALAKA 3 KISA KAONJA NYAMA AFUNGUKA MAZITO ZAIDI | NILIKUA SIPEWI UNYUMBA

ALIEMPA MKEWE TALAKA 3 KISA KAONJA NYAMA AFUNGUKA MAZITO ZAIDI | NILIKUA SIPEWI UNYUMBA

KWA MARA YA KWANZA MELI YENYE MAGARI 322 YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

KWA MARA YA KWANZA MELI YENYE MAGARI 322 YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

Это Попало На Камеру! Самые Редкие Случаи С Животными

Это Попало На Камеру! Самые Редкие Случаи С Животными

Переговоры ЗЕЛЕНСКОГО с ТРАМПОМ! ГАРАНТИИ БЕЗОПАСНОСТИ, ЗАЭС, ТЕРРИТОРИИ: чего ОЖИДАТЬ от ВИЗИТА?

Переговоры ЗЕЛЕНСКОГО с ТРАМПОМ! ГАРАНТИИ БЕЗОПАСНОСТИ, ЗАЭС, ТЕРРИТОРИИ: чего ОЖИДАТЬ от ВИЗИТА?

❗️❗️ЗЕЛЕНСКИЙ ИДЕТ НА РИСК: встреча с Трампом УЖЕ СКОРО!

❗️❗️ЗЕЛЕНСКИЙ ИДЕТ НА РИСК: встреча с Трампом УЖЕ СКОРО!

GODBLESS LEMA AMJIA JUU SHEKHE KIPOZEO BAADA YA KUDAI HAKI HAIWEZI PATIKANA BILA AMANI

GODBLESS LEMA AMJIA JUU SHEKHE KIPOZEO BAADA YA KUDAI HAKI HAIWEZI PATIKANA BILA AMANI

⚡️ Командный пункт ВСУ захвачен || Военный переворот в Украине?

⚡️ Командный пункт ВСУ захвачен || Военный переворот в Украине?

10 мировых рекордов, настолько невероятных, что даже врачи не могут их объяснить #УдивительныеФакты

10 мировых рекордов, настолько невероятных, что даже врачи не могут их объяснить #УдивительныеФакты

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]