Nini kinafuata baada ya mateka wa Israel na wafungwa wa Gaza kuachiliwa? Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-10-14
Просмотров: 38980
Siku moja baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalitoa fursa ya kuachiliwa kwa mateka 20 wa Israel waliokuwa hai, na mamia ya wafungwa wa Kipalestina ili kuungana na familia zao, kuna wasiwasi kuhusu hatua inayofuata kwa Gaza.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: