DAWATI LA LUGHA -Chimbuko la Kiswahili
Автор: Dalmus Sakali
Загружено: 2018-04-12
Просмотров: 4222
Katika sehemu ya pili ya Mada Wazi katika Kipindi cha Dawati La Lugha (kila Jumamosi 9-11am, West TV), Mwasilishaji wa kipindi hicho Dalmus Sakali alizungumza na mtafiti wa lugha ya KIswahili Prof. Msarifu bin Bashashi kuhusu Chimbuko la Kiswahili. Subscribe hapa / @dalmussakali9921 kupata video zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: