Gethsemane Group Kinondoni (GGK) - Africa ( Music Video)
Автор: Gethsemane Group Kinondoni SDA
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 76919
Safari ya kwenda Kanaani ilianzia Afrika.
Ni hapa Mungu alipojifunua kwa nguvu na ishara.
Miujiza yake ilionekana wazi—maji yakageuka kuwa damu,
na utukufu wake ukatangazwa mbele ya mataifa.
Afrika si ya kusahaulika,
Afrika ni sehemu ya mpango wa Mungu.
YESU alituita, akatuchagua,
na leo tunasimama kama ushuhuda wa wokovu na neema yake.
Kutoka Afrika sauti imeinuliwa,
kuhubiri imani, tumaini, na wokovu.
Safari inaendelea, lakini wito umebaki—
Afrika, tumeitwa na YESU.
#SafariYaKanaani #MiujizaYaMungu #AfrikaKwaYESU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: