AWAMU YA NYONGEZA YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
Автор: TCU TV Tanzania
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 1504
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa udahili wa Shahada ya Kwanza katika Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Nyongeza ya muda wa udahili imetangazwa na Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa leo Oktoba 03, 2025 katika mkutano na Waandishi wa Habari Mkoani Morogoro. Prof. Kihampa amebainisha kuwa Awamu ya Tatu na ya mwisho ya udahili itaanza tarehe 06 hadi 10 Oktoba, 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: