BWANA AMETAMALAKI - S. B. MUTTA | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
Автор: Jugo Media Network
Загружено: 2019-11-24
Просмотров: 14705
Wimbo: Bwana Ametamalaki
Mtunzi: S. B. Mutta
Organist: Alex Rwelamira
Kanisa: Parokia ya Mtakatifu Augustin, Ukonga Dar es Salaam
BWANA AMETAMALAKI
@ S. B. Mutta
{ Bwana ametamalaki nao mataifa watetemeka (naye)
Ameketi juu ya makerubi, nayo nchi inatikisika } *2
Bwana katika sayuni ni mkuu,
Naye ametukuka juu ya mataifa yote
Wote walishukuru jina lake kuu
Kwa maana jina lake Bwana ni la kuogofya
Mtukuzeni Bwana kwani ni mkuu
Msujuduni mahali penye kiti cha miguu yake
Moto watangulia mbele zake,
Na kuwateketeza adui zake pande zote
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: