KONGAMANO LA 17 LA TANZANIA MOVEMENT OF CATHOLIC STUDENTS (TMCS) - TAIFA.
Автор: CPT & TMCS TV
Загружено: 2025-06-13
Просмотров: 185
Uongozi wa TMCS Taifa unawaalika wanachama wote wa TMCS kutoka kanda zote za Tanzania kushiriki Kongamano la 17 la Taifa linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
📌 MADA KUU: Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako
📅 Tarehe: 25 – 31 Desemba 2025
📍 Mahali: Shule ya Sekondari ya Tosamaganga – Jimbo Katoliki la Iringa
Kongamano hili ni nafasi adhimu kwa vijana wa TMCS kukutana, kujifunza, kutafakari, kuombeana na kujengwa kiimani huku tukishiriki maisha ya pamoja kama vijana katika Kristo.
Tutakuwa na mafundisho ya kina, ibada, tafakari za pamoja, michezo, burudani na nafasi za kipekee za kukuza uongozi na huduma ya kijamii.
Karibu tujifunze, tuombeane na tukue pamoja katika imani na upendo wa Kristo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: