Familia ya Mwamunyange yakanusha taarifa zinazotolewa katika mitandao.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2015-10-15
Просмотров: 6344
Familia ya Bwana Adolph Mwamunyange imekanusha taarifa zinazotolewa katika mitandao ya kijamii kuwa mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunganye amelishwa sumu na mitandao mingine ikidai amekufa na kuwataka watu wanaotoa taarifa hizo za uzushi kuacha mara moja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: