FAMILIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani..!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-06-07
Просмотров: 111600
FAMILIA YALIA: Sam Waukweli Hajafa na UKIMWI Jamani..!
Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa, mdogo wa marehemu amezungumza na Global TV na kukanusha taarifa hizo na kusema wao kama familia hawakuwahi kufahamu kwamba ndugu yao anaumwa Ukimwi.
Mdogo huyo wa Sam amesema familia yao imesikitishwa sana baada ya kusikia taarifa hizo zilizotolewa na Prodyuza wake anayefahamika kwa jina la Baba Baysa ambaye mpaka Global TV inaondoka msibani maeneo ya Tandale hakuwa amefika kabisa.
SAM WAUKWELI, SAM WA UKWELI, SAM WAUKWELI
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: