RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WAKULIMA TULIENI
Автор: WAKWETU ONLINE TV
Загружено: 2025-09-09
Просмотров: 586
Kufuatia changamoto ya kushuka kwa bei ya mazao hasa mbaazi na dengu Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewatka wakulima kutulia na mazao yao kwa sasa serikali inaangaika kutafuta masoko nje ya nchi.
Rais Samia ametoa wito huo wakati akiongea na wananchi kupitia mkutano wake wa kampeni aliyoufanya mkoani singida baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya bei ya mazao hayo.
Akiwa mkoani singida Rais samia amefanya mikutane isiyopungua minne ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi waliyojitokeza kumlaki barabrani.
Ikiwa kwa sasa wakulima wanaendelea kuvuna mazao yao na kuyanigiza sokoni wamekuwa wakikumbana na bei zisizowarizisha na kuiomba serikali kuingilia kati licha ya kwasasa wamekuwa wakuuza mazao yao kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: