Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali ya kisasa Part 3
Автор: Suitland Tailoring College
Загружено: 2023-02-16
Просмотров: 4145
Hapa utajifunza kukata kitambaa cha Suruali kwa Umbo la Mtu Mwembamba, Umeshaelekezwa kukata nguo kwenye vipimo vya Mtu mnene utajifunza Kuchonga Kiuno, Kupima Paja Na Kupima Lisani Sasa hapa utajifunza kukata kitambaa cha mbele na Nyuma nyuma kwa mtu mwembamba yaan model utajifunza kukata Goti, Chini, Dats na mifuko ya nyuma
#suitland
1#jifunze kushona-Jinsi ya kukata kitambaa cha Suruali Kiuno, Paja, Body/Hips na Lisani Episode namba Moja ..... • Stiching tutorial for beginners | Jifunze ...
2#suitland kushona-Jinsi ya kukata kitambaa cha Suruali Goti, Chini, Dats na mifuko ya nyuma Epsode ya Pili Link............. • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA COMMENT NA KU-LIKE @suitland @samtsui
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: