KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM / MULEBA - KAGERA
Автор: MOHAB TV ONLINE
Загружено: 2025-10-16
Просмотров: 18
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muleba katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Kagera tarehe 15 Oktoba, 2025
KITUO KINACHO JIHUSISHA NA HABARI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA KUELIMISHA UMMA KUHUSU MATUKIO YANAYO JIRI KILA WAKATI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE CHANEL YETU USIPITWE NA TUKIO LOLOTE HAPA NCHINI ( Email: [email protected](+255752268249 / +255785537878)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: