YANA MWISHO – (Official Gospel Song) | MemPro Sounds
Автор: Mempro Sounds
Загружено: 2025-10-24
Просмотров: 3825
Wimbo huu wa injili unaitwa “YANA MWISHO”, Ni wimbo wa faraja na matumaini, unaowakumbusha watu wote wa Mungu kwamba mateso, majaribu, na hali ngumu za maisha hazitadumu milele — Mungu yupo pamoja nasi, anajua na anasikia kilio cha mioyo yetu, na kesho yetu ni bora kuliko leo yetu.
Usikate tamaa... YANA MWISHO. 🙏
Warumi 8:18 (Kwa maana mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu) na Isaya 43:1 (Usiogope, maana mimi nimekuokoa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu).
#YanaMwisho, #MemPro, #GospelMusic, #TanzanianGospel, #GospelSong, #Injili, #MemProSounds, #TheGospelSounds, #Faraja, #Matumaini, #ChristianMusic, #GospelVibes, #AfricanGospel, #Worship, #Praise, #Hope #Faith, #GodIsAble, #YanaMwishoMemPro.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: