Unavyoweza kutumia simu ya mkononi kupata barua ya utambulisho Serikali ya mtaa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 154
Baada ya kuanzishwa kwa anuani za makazi, sasa Serikali imeleta programu tumizi ya ‘National Physical Addressing’ (NaPA), ambayo inamwezesha Mtanzania kupata barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa bila kulazimika kufika ofisini.
Msikilize Afisa Hesabu kutoka Wizara ya Habari na Mawasiliano, Charles Semzaba, akifafanua jinsi mfumo huo unavyofanya kazi pamoja na hatua za kujiandikisha.
#AzamTVUpdates
Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: