WIZARA YA UCHUKUZI YAAHIDI MAKUBWA BAJETI 2025/2026
Автор: KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Загружено: 2025-05-15
Просмотров: 70
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa na naibu wake, David Kihenzile wakijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge na kuahidi wizara hiyo kuendelea kufanya makubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan
Walikuwa wanajibu hoja hizo wakati wa kuhitimisha mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/ 2026 bungeni Dodoma Mei 15, 2025,'
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: