#LIVE
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 490
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anazungumza na Mabalozi wa nchi rafiki wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania. Haijafahamika ni ujumbe gani mahsusi atautoa, lakini tukio hili limevuta hisia na shauku ya wengi, hasa kuhusu mwelekeo wa diplomasia, ushirikiano wa kimataifa na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la dunia mwaka 2026.
Fuatilia mubashara kupitia TMC News
Endelea kuwa nasi kwa taarifa sahihi na za uhakika.#RaisSamia#SamiaSuluhuHassan#LiveTMCNews #DiplomasiaYaTanzania#Mabalozi#IkuluChamwino#Tanzania2026#SiasaNaDiplomasia#BreakingNews
#TMCNewsLive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: