"Sina chuki hata moja na Lissu, hata nikikutana naye nitamkumbatia"
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-01-14
Просмотров: 77281
Katika sehemu hii ya pili ya mahojiano maalum na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, kiongozi huyo wa siasa anamueleza mwandishi wa BBC Sammy Awami ni kitu gani atakifanyia chama chake ikiwa atachaguliwa.
Mbowe anaweka wazi pia kile anachoamini kuwa changamoto kubwa inachokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Je nini kitatokea atakapokutana na mpinzani wake mkubwa wa nafasi hiyo Tundu Lissu?
#bbcswahili #chadema #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: