Utukuzwe ewe Baba Mungu | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Pasaka, shukrani /matoleo (Skiza 7482441)
Автор: Sauti Tamu
Загружено: 29 сент. 2020 г.
Просмотров: 3 008 932 просмотра
Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, aleluya
Kwani Bwana mfufuka ametualika, aleluya
aleluya utukuzwe, utukuzwe, Baba mwumba ulimwengu aleluya
Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa
Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, Tazama Bwana tunakuja kwako, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu, ee Baba twaleta zawadi zetu na ipae mbele yako
utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe Hallelujah
Kwani Yesu mfufuka ametuchagua

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: