WAFANYA TAMBIKO KUITA MVUA
Автор: KIMM MEDIA
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 500
Wakazi kutoka baadhi ya kata zilizopo katika wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora wamekusanyika kufanya Tambiko katika eneo la Kinamagi kuomba mvua inyeshe na pia amani na utulivu itawale katika taifa.
Tambiko hilo limefanywa na watu kutoka makabila tofauti ya wanyamwezi,wasukuma na wanyaturu waishio katika wilaya hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: