MKT WA CCM WILAYA UYUI AMEWALEKEZA WATENDAJI WA SERIKALI UJENZI WA BARABARA YA MAKAZI -SAWEWE
Автор: CCM Tabora online TV
Загружено: 2022-02-01
Просмотров: 82
.Mkt. wa CCM Wilaya ya Uyui Ndg Lubasha Saidi Makoba amewalekeza watendaji wa Serikali Uyui kuitengeneza kwa Ubora iweze kupitika wakati wote Barabara ya Makazi -Sawewe kutokana na kamati ya Siasa Wilaya ilipofanya ziara ya ukaguzi mwaka jana juu ya Barabara hiyo na kurudi tena Mwaka huu kufuatilia ujenzi wa Barabara hiyo na kukuta bado maelekezo aliotoa mwaka jana hayajafanyiwa kazi
Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mhe.Kisare Makora amemtaka Meneja wa Tarura Wilaya ya Uyui kwa matengenezo ya mwaka huu wazingatie maelekezo yaliotolewa na Chama Cha Mapinduzi amebainisha kuwa mwaka huu 2022-2023 Barabra hiyo imetengewa kiasi cha Fedha Tsh milioni 70
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: