MRADI WA BANDARI YA MBAMBABAY KUKAMILIKA AGOSTI 2026
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 23
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema mradi wa kimkakati wa ujenzi Bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma unaogharimu shilingi bilioni 80 unatarajia kukamilika Agosti 2026.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: