Kubeti ni ugonjwa?.Jinasue kwa kufuata hatua hizi tano (5)
Автор: InfoScopeTv
Загружено: 2023-06-13
Просмотров: 3097
Hapa chini ni Hatua tano ili kuweza kuacha tabia ya kucheza kamari au KUBETI
NO 1:Tambua kwanza kuwa kubeti au kamari ni Uraibu hivyo kuushinda lazima kuhusisha akili yako.
NO 2:Kujua au kutambua imani ulizojijengea kuhusu fedha na utajiri.
no 3: Kujua vichocheo vya nje vinavyokusukuma kucheza kamari.
no 4: Kutafuta tabia nyingine itakayoziba pengo la kamari.
NO 5:kutengana na fedha zako za ziada.
Hakikisha huna fedha ambayo haina matumizi mfukoni, benki au kwenye simu yako.
Na hapa unapaswa kuchukua hatua moja, nenda benki na fungua akaunti maalumu ambayo unaweza kuweka fedha tu ila kutoa siyo rahisi. Akaunti hiyo usiwe na ATM wala kuunganisha na huduma za simu.
Hapo sasa kila fedha ya ziada unayokuwa nayo, weka kwenye akaunti hiyo. Kila fedha ambayo ulikuwa unaitumia kucheza kamari, weka kwenye akaunti yako.
Mara zote baki ukiwa umefulia na fedha zote weka kwenye akaunti yako maalumu. Kama huna fedha za ziada, huwezi kucheza kamari na hapo tabia itakosa nguvu ya kuendelea kuwa imara kwako.
Kama nilivyoeleza, uraibu ni ugonjwa, umejijenga kwa muda mrefu na hata kuuvunja itachukua muda pia, hivyo unapaswa kuendelea kujifunza na kuchukua hatua sahihi.
no 6: Kuendelea kujifunza na kuchukua hatua sahihi za kuondoka kwenye uraibu huo.
Kuna vitatu maadishi kadhaa unavyopaswa kuvisoma ili kuendelea kuelewa kwa kina kuhusu uraibu huo na hatua sahihi unazopaswa kuendelea kuchukua ili kuuvunja na kuhakikisha hurudi tena. Vipo vitabu kadhaa na unaweza kuwasiliana na mtunzi wake kupitia namba iliyoko katika maelezo chini ya video hii. Au unaweza kutuma ujumbe kucoment tutakuelezea namna ya kupata vitabu hivyo.
Tunapatikana pia kupitia:
Facebook; / uchumitv
Youtube: / @uchumitv
Instagram: / uchumi_tv
Twitter:https://twitter.com/Uchumitv_?t=ZIxhZ...
JamiiForums:https://www.jamiiforums.com/members/u...
Website-
Whatsap:+255
#kubeti
#kamari
#kuacha kubeti
#uchumi
#soka
#mkeka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: