BUGOMOLA, NGOLE KUIONGOZA MANISPAA YA GEITA KWA MIAKA 5 BAADA YA KUSHINDA KURA ZA MAONI CCM.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 72
#mwangazatvupdates
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita Michael Msuya ametangaza matokeo ya mchakato wa kura za maoni ya kumpata Meya Manispaa ya Geita pamoja Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita ambao watapeperesha bendera katika hatua inayofuata ya kumpa meya na Mwenyekiti .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: