SYLVIA AKOTH -JAZA MOYO WANGU (official video)
Автор: Sylvia Akoth
Загружено: 30 мар. 2022 г.
Просмотров: 77 891 просмотр
video director cream vision.
audio producer esynet records
keys sheiy king.
Jaza Moyo wangu na wewe nikujue zaidi bwana
(chorus)
jaza Moyo wangu na wewe nikujue zaidi bwana,
jaza mawazo yangu na wewe,
jaza maisha yangu na wewe,
jaza mavazi yangu na wewe,
(chorus)
tawala Moyo
tawala Moyo
tawala Moyo wangu.
ondoa kisicho chako ndani yangu,
weka kilicho Chako ndani yangu,
Mimi bwana nataka wewe ujae ndani yangu,
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji,
Nina shauku Nina shauku nawee,
jaza Moyo wangu, tawala Moyo Moyo Moyo
tawala Moyo wangu baba, Moyo wangu yesu,
(chorus)
translation
fill my heart with yourself that I may know you more Lord,
chorus
fill my heart with yourself that I may know you more Lord,
fill my thoughts with yourself,
fill my life with yourself,
fill my dressing with yourself,
dominate my heart
dominate my heart
dominate my heart or Lord
remove what is not of you, fill me with yourself,
Lord I desire that you fill me with you,
as the dear pants for waters,so does my soul thirst for you,
fill my heart lord, fill my heart Lord.
all right served@2022
for bookings+254702180218

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: