JOSHUA MLELWA ALIA NA MATAPELI WA HAKI MILIKI ZA NYIMBO ZAKE.
Автор: Chomoza Digital
Загружено: 2025-09-10
Просмотров: 118
Muimbaji mkongwe wa Nyimbo za Injili @joshuamlelwa_ ametoka adharani Kupitia ukurasa wake wa Instagram na kulia dhidi matapeli wa haki za Nyimbo zake ambazo alizifanya kipindi cha nyuma.
@joshuamlelwa_ ameelezea aina ya utapeli wa kimtandao ambao umefanyika na baadhi ya watu wenye nia mbaya kujimilikisha haki miliki za nyimbo zake.
@joshuamlelwa_ amesisitiza kuomba watu hao kuacha mara moja jambo hilo kwani “Jasho la Mtu halina Vitamini”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: