Kangi Lugola alipoulizwa kuhusu waliomteka Mo Dewji
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-10-28
Просмотров: 9363
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutekwa kwa mfanyabiashara bilionea Mohammed Dewj na kisha kupatikana, Waandishi wa habari Dodoma leo October 28, 2018 walipokutana na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola walitaka kujua Jeshi la Polisi limefikia wapi katika kuhakikisha limewakamata waliohusika katika tukio hilo la utekaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: