Kabla ya kuanza UUMBAJI,MUNGU alikuwa ANAFANYA NINI?kabla hajaumba MBINGU alikuwa WAPI?
Автор: BONGO FASTA
Загружено: 2021-08-12
Просмотров: 208614
kama ujuavyo binadamu anahitaji kujua kila kitu,hivyo asingeweza kupuuza maswali aliyonayo kichwani kuhusu uumbai wake na dunia kiujumla,na moja ya maswali hayo,ni je ikiwa Mungu ni wa milele alikuwepo tangu na tangu,kabla ya kuanza uumbaji alikuwa anafanya shughuli gani?na pia ikiwa inaaminika Mungu anaishi mbinguni,je alikuwa wapi wakati anaumba mbingu nannchi?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: