Ahimidiwe Bwana Mungu || Joseph Kyalo || (Official Video) || St. Peter's Catholic Choir ||
Автор: ST. PETER'S CATHOLIC CHOIR KABARAK
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 2176
Tunamshukuru Mungu kwa neema na uhai kwa kutuwezesha kuwasilisha wimbo huu wa sifa na shukrani, “Ahimidiwe Bwana Mungu.” Wimbo huu unatoka moyoni, ukiwa ni ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu katika maisha yetu.
Ni ombi letu kwamba kupitia uimbaji huu, jina la Bwana litukuzwe na wengi wabarikiwe. Tunakualika utazame, usikilize na uungane nasi katika kumsifu Mungu.
#choir #catholic #catholicfaith #prayer #trending #gospelmusic #hitsong #music #Ahimidiwe Bwana Mungu
Composer: Joseph Kyalo
Organist : Baraka .T. Mashibe
Audio : Neema Pro Studios
Video : Kay Amoh
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: