Kwa nini wakaazi wa Lamu hawaruhusiwi kusafiri usiku kupitia barabara uu ya Lamu, Witu na Garsen
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-02-06
Просмотров: 19782
Usafiri wa usiku bado ni changamoto kubwa katika barabara kuu ya Lamu, Witu na Garsen katika kaunti ya Lamu. Wenyeji hawaruhusiwi kusafiri usiku kupitia barabara hiyo kutokana na changamoto za kiusalama ambazo zimeshuhudiwa eneo hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: