ZITTO ATIKISA BUNGE/AITWA MSALITI
Автор: MwanaHALISI TV
Загружено: 2020-01-31
Просмотров: 6220
Baadhi ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa maoni yao mbalimbali kuhusu alichok kizungumza mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe alipofanyiwa mahojiano na shirika la utangazaji BBC kuhusu Tanzania kunyimwa mkopo wa maendeleo ya Elimu na Bank ya Dunia.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: