Sheikh Suleiman Salim Mohammed - Unaifahamu Sura Yako Baada ya Kufa Kwako?
Автор: Shaban Nurdun
Загружено: 2020-05-06
Просмотров: 3031
Nyumqa ya mchauga
Nyumba ya kiza
uyumqa ya upweke
sehemu ya kulala huchagui wewe Bali unachaguliwa na wale watakao kupeleka hapo.
yarab tujalie mwisho mwema.
Kiumbe Ulikujaje Hapa Duniani??
Umesahau Kama Ulikuwa Maji Machafu (Manii) Vipi Ujione na Kulinga Katika Ulimwengu Huu!!
Usijione na Kuwa na Kibri Sababu ya Cheo Chako, Mali Yako, Uzuri Wako .... Yote Hayo ni Mapambo ya Dunia.
Ewe Mola Tujalie Turudie Kwako Kwa Khiari Kabla ya Kulejeshwa Kwa Nguvu .
AMEEN AMEEN AMEEN
Usiache ku SUBSCRIBE na Kuniachia Mawazo yako Kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa Wengine.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: htt//www.instagram.com/shaban1575
FACEBOOK: htt//www.facebook.com/shabannuru
TELEGRAM: htt//www.telegram.com/+255755353453
For Another Please Send me an email. Shabannuru23@gmail.com
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: