Familia ya Harrison yataka haki kutendeka baada ya mwanao kutekwa nyara
Автор: Undugu TV
Загружено: 2025-12-29
Просмотров: 7
Harrison Nhamu mwanaume mwenye umri wa miaka 44 kutoka Mombasa anadaiwa kutekwa nyara tarehe 24 mwezi Desemba na watu wanaoaminika kuwa ni maafisa wa polisi. Familia yake ikieleza kuwa hakuna jibu lolote walilopokea kuhusu ni kwa nini alitekwa nyara na hata baada ya kupiga ripoti katika kituo cha polisi, kufikia sasa hakuna jibu lolote. Mary Kyalo na kina cha taarifa ile
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: