"ETI KUNA MTU ANADAI HAKI YA NCHI WAKATI YEYE HAKI YAKE KWA MUNGU HAJATIMIZA,TIMIZENI ZENU KWANZA"
Автор: KHAIRIYYA ONLINE TV
Загружено: 2026-01-03
Просмотров: 464
"ETI KUNA MTU ANADAI HAKI YA NCHI WAKATI YEYE HAKI YAKE KWA MUNGU HAJATIMIZA,TIMIZENI ZENU KWANZA"
Sheikh Wa Mkoa Wa Kilimanjaro
Bado Aendelea Kuhimiza Amani ya Nchi
Leo Jan 3 Kilimanjaro 2026
Khairiyya Online TV
Sheikh Wa Mkoa Wa Kilimanjaro
Ahimiza Umoja na Mshikamano
Leo Jan 3
Alipokutakana Uso kwa uso Na Waandishi wa Habari Wa Khairiyya online Tv
Sheikh Mlewa Ametoa wito kwa Vijana,Bodaboda na Akina Mama Wa Kilimanjaro na Nje Pia Ya Kilimanjaro Kusimama na Nchi Na Kuacha Kabisa Kutengenezewa Propaganda Mbaya Zinazoweza kuleta Madhara Katika Nchi Yao
Mwisho
Sheikh Mlewa Ameiponheza Khairiyya online Tv Kwa Kazi Yao Kubwa
Usisahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: