ONGEZEKO LA NGOMA ZA VIJAMVI /VIGODORO /BAIKOKO ZAHUSISHWA UKOSEFU WA MAADILI TANGA
Автор: MWAMBELA TV
Загружено: 2025-08-07
Просмотров: 95
ASASI ziziso za kiserikali Mkoani Tanga zimeaswa kudhibiti vitendo vinavyochangia mmong'onyoko wa maadili wa ikiwemo matumizi ya dawa za kulevya na ukatili wa kijinsia.
Hyo yameelezwa na Mwenyekiti wa bodi ya mashirika yasiyo ya kiserikali nchini, Mwantumu Mahiza ambapo ameaagiza viongozi na wanachama kushirikiana Kwa pamoja katika kufanya utafiti ili kubaini sababu zinazopelekea vijana wengi wa mkoa wa Tanga kuwa na changamoto ya Afya ya akili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: