DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Nov.18, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-18
Просмотров: 10814
Jioni ya leo utasikia yafuatayo
++ Rais Samia amekiri kuwa yaliyotokea nchini Tanzania yametia doa nchi hiyo na hilo huenda likakata sifa za kupata mikopo kutoka taasisi za kimataifa.
++ Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameanza safari za kidiplomasia, akilenga kuyafufua mazungumzo ya amani na kupata msaada mpya wa kijeshi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: