KARIBUNI NYOTE (Official Video) - St. Cecilia Babadogo
Автор: ST. CECILIA YOUTH CHOIR - BABADOGO
Загружено: 2025-06-27
Просмотров: 3525
WIMBO: Karibuni Nyote
MTUNZI: Sir Michael
WAIMBAJI: Wanasecilia Babadogo
AUDIO/VIDEO: St. Sylvester Media Production
Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa Karibuni Nyote, ulioimbwa na Kwaya ya Vijana ya Mt. Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu.
Wimbo huu umetungwa na Sir Michael, na kuandaliwa na studio za St. Sylvester Media Production - Nairobi.
ENJOY!!!
#GodAboveAll #YouthForChrist
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: