MUFTI ASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA SAUDIA
Автор: Muungwana Tv
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 1676
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Dtk.Abubakar Zuber Bin Ally, jana 27-11-2025 amesaini Mkataba wa Makubaliano kusaidiana kati ya Saudi Arabia ikiwakilishwa na Wizara ya Mambo ya Dini ya Saudi Arabia na Tanzania ikiwakilishwa na Baraza kuu la Waislam Tanzania BAKWATA.
Mkataba huo amesaini Waziri wa mambo ya Dini Sheikh Dkt Abdul-Latif Ali Sheikh kwa upande wa Saudi Arabia na Mufti Sheikh Dkt Abubakar Zuber Bin Ally kwa upande wa Tanzania.
Mkataba huu wenye malengo ya kusaidiana katika nyanja za Kielimu, Afya, huduma za jamii, na nyanja ya mambo ya Dini kwa ujumla. Mufti katika msafara huo amefuatana na Sheikh Othman Ali Kaporo ambae ni Mkurugenzi wa Quran na mambo ya Dini katika Baraza kuu la Waislam Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: