Nay wa Mitego: Mwanamuziki wa Tanzania mwenye tungo tata
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2023-10-09
Просмотров: 265533
Mashabiki wake hupenda kumuita 'rais wa kitaa', Emmanuel Elibariki Almaarufu kama Nay wa Mitego @naytrueboytz ni miongoni kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania ambaye tungo zake mara kadhaa zinamtia matatani kutokana na mamlaka za udhibiti wa maudhui kutoridhishwa na tungo zake.
Je ni kwanini ameamua kufanya aina hii ya muziki?
Video: @eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #tanzania #muziki
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: