Abdalatif Abdalla | Sauti ya Dhiki
Автор: Iddi Mtumweni
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 219
Ni miongoni mwa wanataaluma maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na ulimwenguni kote, moja ya kazi yake kubwa ni kufundisha lugha ya Kiswahili kwa wageni na wenyeji, hatuna budi kujifunza kupitia simuzi za yaliyomkuta wakati wa harakati za ukomboni, na upi mchango wa lugha ya Kiswahili wakati huo.
Hii ni SUKI Podcast leo tunamkaribisha Mwalimu Abdullatif Abdallah katika mahojiano yetu akitujuza kwa ufupi historia ya maisha yake, yaliyomkuta gerezani na namna alivyotunga maishairi akiwa gerezani, nafasi ya lugha ya Kiswahili kwa waswahili wenyewe.
Tafadhali endelea kusikiliza SUKI Podcast kupitia mitandao mbali mbali ya Podcast ikiwemo Apple, Google, Overcast, Amazon, iHeartRadio, Castbox, Pocket Casts, Radio Public, Sticker na mengineyo.
Unaweza kutuma link hii kwa wengine pia ili wapate kujifunza zaidi, tuandikie maoni yako hapo chini kwa yale tuliyozungumza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: