Kwa nini mkakati mpya wa usalama wa taifa Marekani unaitenga Ulaya?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 1074
Serikali ya Marekani wiki iliyopita ilitangaza mkakati mpya wa usalama wa taifa unaobadili sera yake ya kuwa na ushawishi wa kidunia na kuelekeza nguvu zake katika ushawishi wa kikanda. Chini ya mkakati huu mpya Washington imewatenga washirika wake wa jadi Ulaya na kutoa kipaumbele kwa kanda ya Amerika. Tumejadili hilo na Dokta Harrison Mwilima, mhadhiri, aliyeko mjini Berlin na Mubelwa Bandio, mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Maryland, Marekani. #dwmjadala #dwkiswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: