JE NI SAHIHI KUNYWA MAJI BAADA YA TENDO LA NDOA? | SUKA TV
Автор: SukaMedia
Загружено: 2025-08-21
Просмотров: 1100
Tendo la ndoa ni shughuli ya kimwili inayohusisha matumizi makubwa ya nguvu, hisia, na mabadiliko ya kimetaboliki mwilini.
Baada ya tendo hilo, mwili huingia katika hali ya kupoteza maji kupitia jasho, kupumua kwa kasi, na shughuli za ndani ya mwili. Swali linalozuka ni: je, ni sahihi kunywa maji baada ya tendo la ndoa?
Tazama makala hii Ili uweze kuelimika zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: