Tunakuja na Vipaji Vyetu Lyrics | WIMBO wa Sadaka, Offertory Song | Full Media
Автор: Full Media
Загружено: 2025-04-05
Просмотров: 136
Tunakuja na vipaji vyetu, mbele zako ee Bwana
Tunatoa shukurani zetu, kwako Baba Muumba
Tunaleta mavuno, Bwana Mungu pokea
Tunaleta na fedha, Bwana Mungu pokea
Mkate na divai, Twakuomba upokee
Ni matunda ya mashamba yetu, uliyotujalia
Ndilo jasho letu sisi Bwana, twakuomba pokea
Watumishi wako tunakuja, na zawadi kidogo
Twakusihi sana Mungu Baba, pokea mikononi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: