DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 13, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-01-13
Просмотров: 5376
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 13, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo
Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) limesema, maelfu ya watu wameukimbia mji wa Um Rawaba nchini Sudan baada ya kuzuka mapigano wiki iliyopita kati ya jeshi kuu chini ya kiongozi wa kijeshi Abdel Fattah al-Burhan na vikosi vya wapinzani vya RSF vinavyoongozwa na jenerali Mohamed Hamdan Daglo.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari. Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: