🔴BMG TV: TAKUKURU MABINGWA WA JUMLA MICHEZO YA SHIMIWI 2025
Автор: BMG ONLINE TV
Загружено: 2025-09-17
Просмотров: 288
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeibuka mshindi wa jumla wa mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI), yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza kuanzia Septemba 01- 16, 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: