E HABARI/JUMUIYA ZA KIISLAMU ZATAKA UCHUNGUZI WA HAKI VURUGU ZA OCKOBA 29,2025 /NOV 20 2025
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2025-11-20
Просмотров: 55
JUMUIYA ,Taasisi na Mabaraza ya Kiislamu nchini wameitaka tume huru iliyoundwa kuchunguza matukio ya vurugu zilizotokea Oktoba 29 kuzingatia haki na ukweli wa wahusika wa chanzo cha vurugu huku wakiitaka Serikali kuchukua hatua kwa watakao bainika kuhusika na uanzishaji wa vurugu na maandamano ambayo yamepelekea uharibifu na vifo vya baadhi ya watu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: