UTAMADINI WA KABILA LA KISUKUMA part 1
Автор: elbariki madihi
Загружено: 2018-08-01
Просмотров: 3635
Wasukuma ni moja kati ya makabila yaliyoko nchini tanzania fahamu mengi kuhusu asili ya kabila la wasukuma kutoka kwa watemi wa kabila hili Mtemi Edward Makwaiya wa BUSIYA - SHINYANGA na Mtemi Dotto Itale wa BUJASHI - MWANZA walipo fanya mahojiana katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI na Elbariki Madihi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: