MIRADI 372 YA UWEKEZAJI KULETA AJIRA 41,000 TANZANIA
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2025-06-09
Просмотров: 90
Takribani ajira Elfu Arobaini na Moja zinatarajiwa kupatikana nchini Tanzania kupitia uwekezaji wa miradi 372, iliyosajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuanzia mwezi Januari hadi Mei 2025.
Hayo yameelezwa leo Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam, na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, wakati akizungumza na waandishi wa Habari kuelezea miradi ya uwekezaji iliyosajiliwa na kituo hicho kuanzia mwezi Januari hadi Mei 2025.
#KhomeinTvUpdates
✍️Juma Mohamed-Dar
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: