Mauaji ya Monica Kimani
Автор: K24TV
Загружено: 2019-11-21
Просмотров: 7907
Nduguye mfanyibiashara mwendazake Monica Kimani leo ametoa ushahidi wake mbele mahakama kuhusu jinsi mshukiwa mkuu katika kesi hiyo , Joseph Irungu almarufu Jowi alivyosherehekea nao kabla ya mauaji ya kinyama ya mwendazake Monica .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: