Nishike Mkono - Mr & Mrs Elias Alute
Автор: Mr & Mrs Elias Alute
Загружено: 28 апр. 2022 г.
Просмотров: 40 944 просмотра
Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo nyingi ambazo Mungu ametuwezesha kutunga, kuimba na kurekodi. Tunamshukuru Mungu maelfu ya watu wamebarikiwa kwa kusikiliza na kutazama nyimbo zetu. Tuko tayari kufanya huduma hii ya uimbaji popote Tanzania, Kenya, Uganda, Congo, Rwanda, Burundi na nchi nyingine duniani. Ukihitaji huduma hii kwenye mikutano ya Injili, semina, makongamano, matamasha, nk, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:
+255 754 559023;
+255 752 635730;
+255 711 899502

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: